Native Bible

Psalms 68:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli.

Psalms 68:8 in English

Psalms 68:8 · Berean Standard Bible

the earth shook and the heavens poured down rain before God, the One on Sinai, before God, the God of Israel.

Context

6Mungu huwaweka wapweke katika jamaa, huwaongoza wafungwa wakiimba, bali waasi huishi katika nchi kame. 7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, ulipopita nyikani, 8dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli. 9Ee Mungu, ulinyesha mvua nyingi na kuiburudisha ardhi iliyokuwa imechoka. 10Ee Mungu, watu wako waliishi huko, nawe kwa wingi wa utajiri wako uliwapa maskini mahitaji yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.