Native Bible

Psalms 68:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, ulipopita nyikani,

Psalms 68:7 in English

Psalms 68:7 · Berean Standard Bible

O God, when You went out before Your people, when You marched through the wasteland, Selah

Context

5Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, ni Mungu katika makao yake matakatifu. 6Mungu huwaweka wapweke katika jamaa, huwaongoza wafungwa wakiimba, bali waasi huishi katika nchi kame. 7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, ulipopita nyikani, 8dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli. 9Ee Mungu, ulinyesha mvua nyingi na kuiburudisha ardhi iliyokuwa imechoka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.