Zaburi 68:5
Psalms 68:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, ni Mungu katika makao yake matakatifu.
Psalms 68:5 in English
Psalms 68:5 · Berean Standard Bible
A father of the fatherless, and a defender of the widows, is God in His holy habitation.
Context
3Bali wenye haki na wafurahi,
washangilie mbele za Mungu,
wafurahi na kushangilia. 4Mwimbieni Mungu, liimbieni sifa jina lake,
mtukuzeni yeye aendeshwaye juu ya mawingu:
jina lake ni Bwana,
furahini mbele zake. 5Baba wa yatima, mtetezi wa wajane,
ni Mungu katika makao yake matakatifu. 6Mungu huwaweka wapweke katika jamaa,
huwaongoza wafungwa wakiimba,
bali waasi huishi katika nchi kame. 7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako,
ulipopita nyikani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.