Zaburi 67:5
Psalms 67:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu.
Psalms 67:5 in English
Psalms 67:5 · Berean Standard Bible
Let the peoples praise You, O God; let all the peoples praise You.
Context
3Ee Mungu, mataifa na wakusifu,
mataifa yote na wakusifu. 4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe,
kwa kuwa unatawala watu kwa haki
na kuongoza mataifa ya dunia. 5Ee Mungu, mataifa na wakusifu,
mataifa yote na wakusifu. 6Ndipo nchi itatoa mazao yake,
naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 7Mungu atatubariki
na miisho yote ya dunia itamcha yeye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.