Zaburi 67:3
Psalms 67:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu.
Psalms 67:3 in English
Psalms 67:3 · Berean Standard Bible
Let the peoples praise You, O God; let all the peoples praise You.
Context
1Mungu aturehemu na kutubariki,
na kutuangazia nuru za uso wake, 2ili njia zako zijulikane duniani,
wokovu wako katikati ya mataifa yote. 3Ee Mungu, mataifa na wakusifu,
mataifa yote na wakusifu. 4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe,
kwa kuwa unatawala watu kwa haki
na kuongoza mataifa ya dunia. 5Ee Mungu, mataifa na wakusifu,
mataifa yote na wakusifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.