Native Bible

Psalms 67:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote.

Psalms 67:2 in English

Psalms 67:2 · Berean Standard Bible

that Your ways may be known on earth, Your salvation among all nations.

Context

1Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake, 2ili njia zako zijulikane duniani, wokovu wako katikati ya mataifa yote. 3Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. 4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.