Native Bible

Psalms 67:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.

Psalms 67:6 in English

Psalms 67:6 · Berean Standard Bible

The earth has yielded its harvest; God, our God, blesses us.

Context

4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, kwa kuwa unatawala watu kwa haki na kuongoza mataifa ya dunia. 5Ee Mungu, mataifa na wakusifu, mataifa yote na wakusifu. 6Ndipo nchi itatoa mazao yake, naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 7Mungu atatubariki na miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.