Zaburi 6:9
Psalms 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, Bwana amekubali sala yangu.
Psalms 6:9 in English
Psalms 6:9 · Berean Standard Bible
The LORD has heard my cry for mercy; the LORD accepts my prayer.
Context
7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika,
yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote. 8Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya,
kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu. 9Bwana amesikia kilio changu kwa huruma,
Bwana amekubali sala yangu. 10Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika,
watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.