Native Bible

Psalms 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.

Psalms 6:10 in English

Psalms 6:10 · Berean Standard Bible

All my enemies will be ashamed and dismayed; they will turn back in sudden disgrace.

Context

8Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu. 9Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, Bwana amekubali sala yangu. 10Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.