Native Bible

Psalms 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu.

Psalms 6:8 in English

Psalms 6:8 · Berean Standard Bible

Depart from me, all you workers of iniquity, for the LORD has heard my weeping.

Context

6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; usiku kucha nafurikisha kitanda changu kwa machozi; nimelowesha viti vyangu vya fahari kwa machozi. 7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika, yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote. 8Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu. 9Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, Bwana amekubali sala yangu. 10Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.