Native Bible

Psalms 51:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako.

Psalms 51:15 in English

Psalms 51:15 · Berean Standard Bible

O Lord, open my lips, and my mouth will declare Your praise.

Context

13Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watakugeukia wewe. 14Ee Mungu, Mungu uniokoaye, niokoe na hatia ya kumwaga damu, nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako. 15Ee Bwana, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako. 16Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, hufurahii sadaka za kuteketezwa. 17Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, moyo uliovunjika wenye toba, Ee Mungu, hutaudharau.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.