Native Bible

Psalms 44:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo?

Psalms 44:21 in English

Psalms 44:21 · Berean Standard Bible

would not God have discovered, since He knows the secrets of the heart?

Context

19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, na ukatufunika kwa giza nene. 20Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni, 21je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo? 22Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa. 23Amka, Ee Bwana! Kwa nini unalala? Zinduka! Usitukatae milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.