Native Bible

Psalms 44:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni,

Psalms 44:20 in English

Psalms 44:20 · Berean Standard Bible

If we had forgotten the name of our God or spread out our hands to a foreign god,

Context

18Mioyo yetu ilikuwa haijarudi nyuma; nyayo zetu zilikuwa hazijaiacha njia yako. 19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, na ukatufunika kwa giza nene. 20Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni, 21je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo? 22Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.