Zaburi 44:19
Psalms 44:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, na ukatufunika kwa giza nene.
Psalms 44:19 in English
Psalms 44:19 · Berean Standard Bible
But You have crushed us in the lair of jackals;* You have covered us with deepest darkness.
Context
17Hayo yote yametutokea,
ingawa tulikuwa hatujakusahau
wala hatujaenda kinyume na agano lako. 18Mioyo yetu ilikuwa haijarudi nyuma;
nyayo zetu zilikuwa hazijaiacha njia yako. 19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha,
na ukatufunika kwa giza nene. 20Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu
au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni, 21je, Mungu hangaligundua hili,
kwa kuwa anazijua siri za moyo?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.