Zaburi 44:23
Psalms 44:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amka, Ee Bwana! Kwa nini unalala? Zinduka! Usitukatae milele.
Psalms 44:23 in English
Psalms 44:23 · Berean Standard Bible
Wake up, O Lord! Why are You sleeping? Arise! Do not reject us forever.
Context
21je, Mungu hangaligundua hili,
kwa kuwa anazijua siri za moyo? 22Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa;
tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa. 23Amka, Ee Bwana! Kwa nini unalala?
Zinduka! Usitukatae milele. 24Kwa nini unauficha uso wako
na kusahau taabu na mateso yetu? 25Tumeshushwa hadi mavumbini,
miili yetu imegandamana na ardhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.