Zaburi 41:7
Psalms 41:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Adui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Psalms 41:7 in English
Psalms 41:7 · Berean Standard Bible
All who hate me whisper against me; they imagine the worst for me:
Context
5Adui zangu wanasema kwa hila,
“Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 6Kila anapokuja mtu kunitazama,
huzungumza uongo,
huku moyo wake hukusanya masingizio;
kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 7Adui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu,
hao huniwazia mabaya sana, wakisema, 8“Ugonjwa mbaya sana umempata,
kamwe hatainuka tena kitandani mwake.” 9Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini,
yule aliyekula chakula changu
ameniinulia kisigino chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.