Native Bible

Psalms 41:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.”

Psalms 41:5 in English

Psalms 41:5 · Berean Standard Bible

My enemies say with malice: “When will he die and be forgotten?”

Context

3Bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake. 4Nilisema, “Ee Bwana nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.” 5Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 6Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 7Adui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.