Native Bible

Psalms 41:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko.

Psalms 41:6 in English

Psalms 41:6 · Berean Standard Bible

My visitor speaks falsehood; he gathers slander in his heart; he goes out and spreads it abroad.

Context

4Nilisema, “Ee Bwana nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.” 5Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 6Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko. 7Adui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu, hao huniwazia mabaya sana, wakisema, 8“Ugonjwa mbaya sana umempata, kamwe hatainuka tena kitandani mwake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.