Native Bible

Psalms 40:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.

Psalms 40:2 in English

Psalms 40:2 · Berean Standard Bible

He lifted me up from the pit of despair, out of the miry clay; He set my feet upon a rock, and made my footsteps firm.

Context

1Nilimngoja Bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 2Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama. 3Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu, wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa na kuweka tumaini lao kwa Bwana. 4Heri mtu yule amfanyaye Bwana kuwa tumaini lake, asiyewategemea wenye kiburi, wale wenye kugeukia miungu ya uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.