Native Bible

Psalms 40:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilimngoja Bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu.

Psalms 40:1 in English

Psalms 40:1 · Berean Standard Bible

I waited patiently for the LORD; He inclined to me and heard my cry.

Context

1Nilimngoja Bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 2Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama. 3Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu, wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa na kuweka tumaini lao kwa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.