Zaburi 4:5
Psalms 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni Bwana.
Psalms 4:5 in English
Psalms 4:5 · Berean Standard Bible
Offer the sacrifices of the righteous and trust in the LORD.
Context
3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga
wale wamchao kwa ajili yake;
Bwana atanisikia nimwitapo. 4Katika hasira yako, usitende dhambi.
Mkiwa vitandani mwenu, mtulie kimya
mkiichunguza mioyo yenu. 5Toeni dhabihu zilizo haki;
mtegemeeni Bwana. 6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye
kutuonyesha jema lolote?”
Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 7Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa
kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.