Native Bible

Psalms 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako.

Psalms 4:6 in English

Psalms 4:6 · Berean Standard Bible

Many ask, “Who can show us the good?” Shine the light of Your face upon us, O LORD.

Context

4Katika hasira yako, usitende dhambi. Mkiwa vitandani mwenu, mtulie kimya mkiichunguza mioyo yenu. 5Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni Bwana. 6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 7Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi. 8Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee Bwana, waniwezesha kukaa kwa salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.