Native Bible

Psalms 37:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu.

Psalms 37:8 in English

Psalms 37:8 · Berean Standard Bible

Refrain from anger and abandon wrath; do not fret—it can only bring harm.

Context

6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 7Tulia mbele za Bwana na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu. 8Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu. 9Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi. 10Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana, ingawa utawatafuta, hawataonekana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.