Zaburi 24:3
Psalms 24:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?
Psalms 24:3 in English
Psalms 24:3 · Berean Standard Bible
Who may ascend the hill of the LORD? Who may stand in His holy place?
Context
1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake,
ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 2maana aliiwekea misingi yake baharini
na kuifanya imara juu ya maji. 3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana?
Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? 4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe,
yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake
au kuapa kwa kitu cha uongo. 5Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana,
na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.