Native Bible

Psalms 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake,

Psalms 24:1 in English

Psalms 24:1 · Berean Standard Bible

The earth is the LORD’s, and the fullness thereof,* the world and all who dwell therein.

Context

1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 2maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji. 3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.