Native Bible

Psalms 24:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji.

Psalms 24:2 in English

Psalms 24:2 · Berean Standard Bible

For He has founded it upon the seas and established it upon the waters.

Context

1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 2maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji. 3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? 4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake au kuapa kwa kitu cha uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.