Native Bible

Psalms 24:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.

Psalms 24:5 in English

Psalms 24:5 · Berean Standard Bible

He will receive blessing from the LORD and vindication from the God of his salvation.

Context

3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? 4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake au kuapa kwa kitu cha uongo. 5Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana, na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake. 6Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao, wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. 7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, inukeni enyi milango ya kale, ili mfalme wa utukufu apate kuingia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.