Native Bible

Psalms 19:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,

Psalms 19:4 in English

Psalms 19:4 · Berean Standard Bible

their voice * has gone out into all the earth, their words to the ends of the world.* In the heavens He has pitched a tent for the sun.

Context

2Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa. 3Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki. 4Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 5linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa afurahiavyo kukamilisha kushindana kwake. 6Huchomoza upande mmoja wa mbingu, na kufanya mzunguko wake hadi upande mwingine. Hakuna kilichojificha joto lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.