Native Bible

Psalms 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa.

Psalms 19:2 in English

Psalms 19:2 · Berean Standard Bible

Day after day they pour forth speech; night after night they reveal knowledge.

Context

1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake. 2Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa. 3Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki. 4Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.