Native Bible

Psalms 19:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake.

Psalms 19:1 in English

Psalms 19:1 · Berean Standard Bible

The heavens declare the glory of God; the skies proclaim the work of His hands.

Context

1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake. 2Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa. 3Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.