Native Bible

Psalms 150:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

Psalms 150:5 in English

Psalms 150:5 · Berean Standard Bible

Praise Him with clashing cymbals; praise Him with resounding cymbals.

Context

3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze, 4msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, 5msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.