Zaburi 150:4
Psalms 150:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
Psalms 150:4 in English
Psalms 150:4 · Berean Standard Bible
Praise Him with tambourine and dancing; praise Him with strings and flute.
Context
2Msifuni kwa matendo yake makuu,
msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta,
msifuni kwa kinubi na zeze, 4msifuni kwa matari na kucheza,
msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, 5msifuni kwa matoazi yaliayo,
msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana.
Msifuni Bwana!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.