Native Bible

Psalms 150:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.

Psalms 150:2 in English

Psalms 150:2 · Berean Standard Bible

Praise Him for His mighty acts; praise Him for His excellent greatness.

Context

1Msifuni Bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. 2Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze, 4msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.