Native Bible

Psalms 150:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu.

Psalms 150:1 in English

Psalms 150:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah!* Praise God in His sanctuary. Praise Him in His mighty heavens.*

Context

1Msifuni Bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. 2Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.