Native Bible

Psalms 150:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana!

Psalms 150:6 in English

Psalms 150:6 · Berean Standard Bible

Let everything that has breath praise the LORD! Hallelujah!

Context

4msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, 5msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.