Native Bible

Psalms 148:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote,

Psalms 148:9 in English

Psalms 148:9 · Berean Standard Bible

mountains and all hills, fruit trees and all cedars,

Context

7Mtukuzeni Bwana kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari, 8umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazofanya amri zake, 9ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote, 10wanyama wa mwituni na mifugo yote, viumbe vidogo na ndege warukao, 11wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.