Native Bible

Psalms 148:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtukuzeni Bwana kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari,

Psalms 148:7 in English

Psalms 148:7 · Berean Standard Bible

Praise the LORD from the earth, all great sea creatures and ocean depths,

Context

5Vilisifu jina la Bwana kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 6Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele. 7Mtukuzeni Bwana kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari, 8umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazofanya amri zake, 9ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.