Zaburi 148:6
Psalms 148:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele.
Psalms 148:6 in English
Psalms 148:6 · Berean Standard Bible
He established them forever and ever; He issued a decree that will never pass away.
Context
4Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana,
na ninyi maji juu ya anga. 5Vilisifu jina la Bwana
kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 6Aliviweka mahali pake milele na milele,
alitoa amri ambayo haibadiliki milele. 7Mtukuzeni Bwana kutoka duniani,
ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari, 8umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu,
pepo za dhoruba zinazofanya amri zake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.