Zaburi 148:11
Psalms 148:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia,
Psalms 148:11 in English
Psalms 148:11 · Berean Standard Bible
kings of the earth and all peoples, princes and all rulers of the earth,
Context
9ninyi milima na vilima vyote,
miti ya matunda na mierezi yote, 10wanyama wa mwituni na mifugo yote,
viumbe vidogo na ndege warukao, 11wafalme wa dunia na mataifa yote,
ninyi wakuu na watawala wote wa dunia, 12wanaume vijana na wanawali,
wazee na watoto. 13Wote na walisifu jina la Bwana,
kwa maana jina lake pekee limetukuka,
utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.