Native Bible

Psalms 148:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wanaume vijana na wanawali, wazee na watoto.

Psalms 148:12 in English

Psalms 148:12 · Berean Standard Bible

young men and maidens, old and young together.

Context

10wanyama wa mwituni na mifugo yote, viumbe vidogo na ndege warukao, 11wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia, 12wanaume vijana na wanawali, wazee na watoto. 13Wote na walisifu jina la Bwana, kwa maana jina lake pekee limetukuka, utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu. 14Amewainulia watu wake pembe,* sifa ya watakatifu wake wote, ya Israeli, watu walio karibu na moyo wake. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.