Native Bible

Psalms 148:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amewainulia watu wake pembe,* sifa ya watakatifu wake wote, ya Israeli, watu walio karibu na moyo wake. Msifuni Bwana.

Psalms 148:14 in English

Psalms 148:14 · Berean Standard Bible

He has raised up a horn for His people, the praise of all His saints, of Israel, a people near to Him. Hallelujah!

Context

12wanaume vijana na wanawali, wazee na watoto. 13Wote na walisifu jina la Bwana, kwa maana jina lake pekee limetukuka, utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu. 14Amewainulia watu wake pembe,* sifa ya watakatifu wake wote, ya Israeli, watu walio karibu na moyo wake. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.