Native Bible

Psalms 146:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitamsifu Bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo.

Psalms 146:2 in English

Psalms 146:2 · Berean Standard Bible

I will praise the LORD all my life; I will sing praises to my God while I have my being.

Context

1Msifuni Bwana!* Ee nafsi yangu, umsifu Bwana, 2Nitamsifu Bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo. 3Usiweke tumaini lako kwa wakuu, kwa wanadamu ambao hufa, ambao hawawezi kuokoa. 4Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.