Native Bible

Psalms 146:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana!* Ee nafsi yangu, umsifu Bwana,

Psalms 146:1 in English

Psalms 146:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah! * Praise the LORD, O my soul.

Context

1Msifuni Bwana!* Ee nafsi yangu, umsifu Bwana, 2Nitamsifu Bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo. 3Usiweke tumaini lako kwa wakuu, kwa wanadamu ambao hufa, ambao hawawezi kuokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.