Native Bible

Psalms 145:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu.

Psalms 145:5 in English

Psalms 145:5 · Berean Standard Bible

the glorious splendor of Your majesty. And I will meditate on Your wondrous works.

Context

3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki. 4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu. 5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 6Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha, nami nitatangaza matendo yako makuu. 7Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.