Native Bible

Psalms 145:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki.

Psalms 145:3 in English

Psalms 145:3 · Berean Standard Bible

Great is the LORD and greatly to be praised; His greatness is unsearchable.

Context

1Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme, nitalisifu jina lako milele na milele. 2Kila siku nitakusifu na kulitukuza jina lako milele na milele. 3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, ukuu wake haupimiki. 4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu. 5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.