Zaburi 145:4
Psalms 145:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, watasimulia matendo yako makuu.
Psalms 145:4 in English
Psalms 145:4 · Berean Standard Bible
One generation will commend Your works to the next, and will proclaim Your mighty acts—
Context
2Kila siku nitakusifu
na kulitukuza jina lako milele na milele. 3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana,
ukuu wake haupimiki. 4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine,
watasimulia matendo yako makuu. 5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako,
nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 6Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha,
nami nitatangaza matendo yako makuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.