Native Bible

Psalms 145:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako.

Psalms 145:7 in English

Psalms 145:7 · Berean Standard Bible

They will extol the fame of Your abundant goodness and sing joyfully of Your righteousness.

Context

5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 6Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha, nami nitatangaza matendo yako makuu. 7Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako. 8Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo. 9Bwana ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.