Zaburi 145:9
Psalms 145:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
Psalms 145:9 in English
Psalms 145:9 · Berean Standard Bible
The LORD is good to all; His compassion rests on all He has made.
Context
7Wataadhimisha wema wako mwingi,
na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako. 8Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma,
si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo. 9Bwana ni mwema kwa wote,
ana huruma kwa vyote alivyovifanya. 10Ee Bwana, vyote ulivyovifanya vitakusifu,
watakatifu wako watakutukuza. 11Watasimulia utukufu wa ufalme wako
na kusema juu ya ukuu wako,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.