Native Bible

Psalms 143:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, unijibu haraka, roho yangu inazimia. Usinifiche uso wako, ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni.

Psalms 143:7 in English

Psalms 143:7 · Berean Standard Bible

Answer me quickly, O LORD; my spirit fails. Do not hide Your face from me, or I will be like those who descend to the Pit.

Context

5Nakumbuka siku za zamani; natafakari juu ya kazi zako zote, naangalia juu ya kazi ambazo mikono yako imezifanya. 6Nanyoosha mikono yangu kwako, nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame. 7Ee Bwana, unijibu haraka, roho yangu inazimia. Usinifiche uso wako, ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni. 8Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. Nionyeshe njia nitakayoiendea, kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu. 9Ee Bwana, uniokoe na adui zangu, kwa kuwa nimejificha kwako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.