Native Bible

Psalms 143:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nakumbuka siku za zamani; natafakari juu ya kazi zako zote, naangalia juu ya kazi ambazo mikono yako imezifanya.

Psalms 143:5 in English

Psalms 143:5 · Berean Standard Bible

I remember the days of old; I meditate on all Your works; I consider the work of Your hands.

Context

3Adui hunifuatilia, hunipondaponda chini; hunifanya niishi gizani kama wale waliokufa zamani. 4Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu unakata tamaa. 5Nakumbuka siku za zamani; natafakari juu ya kazi zako zote, naangalia juu ya kazi ambazo mikono yako imezifanya. 6Nanyoosha mikono yangu kwako, nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame. 7Ee Bwana, unijibu haraka, roho yangu inazimia. Usinifiche uso wako, ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.